The Maendeleo Jiko developed a few years ago by GTZ-SEP in conjunction with Maendeleo ya Wanawake and the Ministry of Energy uses fuelwood more efficiently and economically. With the Maendeleo Stove the kitchen is more smoke free and healthier than it has ever been. The stove has a firewood saving of 30 - 50% compared to the three-stone fire. Jiko la Maendeleo lililoanzishwa miaka mlchache iliyopita hutumia kuni kwa hali bora, yenye kuridhisha; na kwa njia isio ghali. Jiko hilo lilianzishwa na Chama cha Maendeleo ya Wanawake wakishirikiana na GTZ-SEP pamoja na Wizara ya Nshati, Matumizi ya Jiko la Maendeleo huhakikisha jiko halina moshi na hali njema ya afya. Hili ni jiko la kwanza la kunikuwa na viwango vya kuvutia aina hii. Jiko hili likataokoa kuni zako kwa kiwango cha asilimia 30 hadi 50 kulingana na lile la mawe matatu. |
Produced for GTZ Special Energy Programme by
Yolanda
Tavares Public Relations Limited, Nairobi,
Kenya