Any cracks must be repaired |
Nyufa zote ni lazima zizibwe | ||
| | ||
a |
Wet the area to help open the crack, and to help the soil mix to stick. Nyunyiza maji kwenye ufa ill upanuke zaidi ili pia uwezeshe mchanganyiko wa udongo kushika kabisa |
| |
| | ||
|
b |
Carve the crack open all the way to its roots. Panua ufa hadi ndani ulipoanzia | |
| | ||
c |
Force as many small stones into the crack as you can. Sukuma kwenye ufa mawe madogo madogo mengi iwezekanavyo. |
| |
| | ||
|
d |
Pack the crack with soil mix and smoothen Jaza ufa hup na mchanganyiko wa udongo kisha sambaza sehemu hiyo. |